iqna

IQNA

Qarii (msomaji) Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Sheikh Abdel Alim Fasada alikuwa miongoni mwa wasomaji wakubwa wa Qur'ani Tukufu nchini Misri na alifariki Januari 16, 2021 baada ya miaka mingi ya kujitahidi katika njia ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476422    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18